Mfalme @officialalikiba ame-share na sisi feelings za kuwa Mmiliki wa Media, akitujuza kuwa haikuwa safari ya muda mfupi, ikianza kama ndoto na sasa anaishi ndani ya ndoto hiyo! • #XXLyaCloudsFM King @officialalikiba anadai hana mpango wa kukutana tena na msanii wa Marekani kutokana na story hizi anazozisikia zinazoendelea kuhusu Diddy! 😂 • #XXLyaCloudsFM @officialalikiba anakiri kuwa moja kati ya vitu ambavyo vimemfelisha kwenye maisha ni kuamini watu! Kitu ambacho amejifunza na matokeo yake anayaona kwa engo chanya ni kuwa na roho mbaya! 🤔 • #XXLyaCloudsFM

MILLARDAYOBONGO5SIMBASPORTCLUBNAMUNGOTANZANIASUMBAWANGAMZEEKATAUSHANGASWAGXSIMBAYANGATFFDRFAMICHEZOFINALYAFAAZAMTVAZAMFOOTBALLFAMANDELASTADIUMSOKAVIPAJISHUTIKALIDAUDATVKARIANAKIDAUUTABILIALMASIKASONGORUKWANKASISIMBANAYANGACLOUDS TVCLOUDS FMXXLCLOUDSCLOUDS DIGITALBONGO FLEVAADAM MCHOMVURUGEKUSAGALEO TENAAMPLIFAYAPOWER BREAKFASTJAHAZITRAFIK JAMZ