Ni zamu ya mkali H baba ndani ya kipindi cha The Classic ambapo ameshare nasi hadithi kadhaa za kusisimua za maisha yake na maisha yake ya kimuziki,hii ni sehemu ya kwanza