Wakenya wa matabaka yote wamealikwa katika makataba kuu nchini K.N.L.S iliyoko eneo la upperhill jijini nairobi kwa ajili ya siku ya kitaifa ya kusoma inayoadhimisha hii leo tarehe 12 kote nchini.Wakenya wataruhusiwa kuingia bure katika maktaba hiyo, kujisomea vitabu wanavyovitaka na kutangamana na waandishi mbalimbali. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

ntv liventv kenya liventv kenya live streaming nowntv kenya live streaming online nowntv kenya live now