Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpokea Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi, leo tarehe 02 Juni, 2024 Ikulu Dar es Salaam. Rais Nyusi yuko nchini kwa Ziara ya Kiserikali. #Msumbiji #Diplomacy