Singida Black Stars imechapwa mabao 3-1 na Sports Club Villa katika mchezo wake wa pili kwenye michuano ya Kombe la Kagame #DarPortKagameCup ukipigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Magoli ya SC Villa yamefungwa na Najib Yiga dakika ya 45'+1, Kakande Patrick dakika ya 51' na Reagan Mpande 56' huku la kufutia machozi likifungwa na Marouf Tchakei dakika ya 60. Tazama highlights...

azamtvazamtvmaxazamsportstanzaniaazamtvtyoutubeSC VillaSingida Black StarsDar Port Kagame CupSV Villa vs Singida BSSC VillSingida BSSC Villa vs Singida BSMagoligoalssokafootballCECAFAKagame CupKombe la KagameDar port kagame Cup