Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan Akimpokea Rais wa Jamhuri ya Guniea-Bissau Mhe. Umaro Sissoco Embaló leo tarehe 22 Juni, 2024 Ikulu Dar es Salaama, ambae yuko nchini kwa ziara ya kikazi .