Sol Generation presents EXTRAVAGANZA featuring Bensoul, Nviiri the Storyteller, Crystal Asige & Kaskazini. SKIZA *811*91# Written and Performed by: Sauti Sol, Bensoul, Nviiri the Storyteller, Crystal Asige & Kaskazini Composed & Arranged: Sauti Sol Produced by: Sauti Sol & Mboks Mixed and mastered by: Mboks & Fancy Fingers Additional Background vocals: Okello Max Bass Guitar: Yvan Kwizera Recorded at Snowball Industries Engineered by Trevor Magak Directed by Mbithi Masya Assistant director: Michael Muraya Cinematography: Dru Mungai Edit and DIT: Raymond Otieno Color Grading: Nic Apostoli Color Grade Post House: Africa Post Office VFX by: KeyFrame KE Styling by: Brian Babu Styling Assistants: Ian Aketch, Raphael Mutua, Nessy Lee Eyewear & accessories from Wardrobe Banter Wardrobe by SAO International & Bolo Bespoke Executive Production: Sol Generation #SautiSol #Extravaganza #SolGeneration EXTRAVAGANZA LYRICS INTRO (Rooster crows) HOOK: SAUTI SOL Ayee rhumba imetamba Sauti Sol in a di area kumechacha Karibuni kwenye Extravaganza Bensoul alipofika alifunika eeeh VERSE 1: BENSOUL Wakaja na madrama, cinema zetu ni telenovela Wakasunda mizinga, hawakujua si tuko mavela Wakaita polisi, kumbe polisi pia ni shabiki Waficha msosi, wakatupata na dishi meza HOOK: SAUTI SOL Ayee rhumba imetamba Sauti Sol in a di area kumechacha Karibuni kwenye Extravaganza Na Nviiri alipofika alifunika eeeh VERSE TWO: NVIIRI THE STORYTELLER Walifunga milango, wakatupata tuko ndani nao Wakaita makanjo, kumbe ni sisi huwalipa salo (wowowo) Wakazima mitambo, shabika wakabaki kwenye dance floor Na iwe funzo kwao, tunaongoza wanafuata nyayo HOOK: SAUTI SOL Ayee rhumba imetamba Sauti Sol in a di area kumechacha Karibuni kwenye Extravaganza Na Crystal alipofika alifunika eeeh VERSE 3: CRYSTAL Wakaja na umati, wakageuka kuwa wafuasi Wakaja na majini, wakapata tushazama kwa dini Nywele za kifarasi, lakini si ni moto ya makasi Risasi mwendo kasi, dandieni musiwachwe na basi HOOK: SAUTI SOL Ayee rhumba imetamba Sauti Sol in a di area kumechacha Karibuni kwenye Extravaganza Kaskazini walipofika walifunika eeeh VERSE 4: KASKAZINI Wakaenda kusini, wakajipata wako kaskazini Wakaja na makiki, lakini si tukaja na muziki Wowowo yeyeye hata wazime taa tutazidi kuparty Wowowo yeyeye hizi vitu hazitakangi utiaji Na wakiapisha, tunaapisha Na wakifunua, tunafunika Na wakianika, tunaanua Na wakisafisha, tunachafua BRIDGE Ayee rhumba imetamba (mama yoyoyo) Sauti Sol in a di area kumechacha (kila corner yoyoyo) Karibuni kwenye Extravaganza x2 Ayee rhumba imetamba Sauti Sol in a di area kumechacha Karibuni kwenye Extravaganza x2 OUTRO Why you looking for trouble (trouble) (trouble) Hapana rusha mawe kwa police station Kabla uwashe kivela cheki situation Hapana shusha bendera kwa chifu Why you looking for trouble (trouble) (trouble) Bibi ya wenyewe is a no go zone Kabla ukute vitu piga protection Nairobi mwizi utageuzwa jivu Why you looking for trouble (trouble) (trouble) Hapana rusha mawe kwa police station Kabla uwashe kivela cheki situation Hapana shusha bendera kwa chifu Why you looking for trouble (trouble) (trouble) Bibi ya wenyewe is a no go zone Kabla ukute vitu piga protection Nairobi mwizi utageuzwa jivu

sauti solbensoulsol generationnviiri the storytellercrystal asigeKaskaziniextravaganzasautisolsautisolosauti sol live in concertsauti sol new songsaut soulsauti solosauti soulsaiti solextravaganza sauti solsol generation extravaganzaextragavanzasol generation songdiamond platnumnzharmonizerhumbaextrawajanjaextra wajanjaeric omondisauti sol magufulimagufuli sauti solmagufuli extravaganzasauti sol 2019magufulijohn magufuli