Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakishiriki ufunguzi wa Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (SABASABA) ambapo Rais Nyusi ni Mgeni Rasmi, leo tarehe 03 Juni, 2024 Viwanja vya Sabasaba Temeke Dar es Salaam. Rais Nyusi yuko nchini kwa Ziara ya Kiserikali.