SUBSCRIBE TO THE CHEMICAL YOUTUBE CHANNEL - https://www.youtube.com/channel/UCXHwSOmouTBaMxd3ws31noA FOLLOW CHEMICAL: INSTAGRAM: https://www.instagram.com/chemical_tz/ TWITTER: https://www.twitter.com/chemical_tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/ChemicalOfficial-1666018513474020/ #Chemical #BongoMusic #NgommaBongo ©2018 Administered by Ngomma VAS Limited. FOR BOOKINGS: CONTACT +255 719360639 EMAIL: chemicaltz1@gmail.com MTOTO WA MTAA AUDIO AVAILABLE ON https://www.boomplaymusic.com/share/album/1876729 LYRICS Eyo Papa...It's Chemical Tumetulia Tulia..Aaah! Verse 1 Mziki ushakua kick na kick na Bikra Tupu Nishavurugwa mimi ni Joto tu kila siku Mziki nao kazi ila kazi kufika Nusu Dada zangu miguu wazi haitoshi kufika Huku Kemikali mgumu, UsistaDu sa mi wa nini? Eti nikikaza nitaolewa tu na mimi Nikizidi kukaza nitakufa masikini Hao masistaDu kwanza wana nini zaidi ya chini Aah! Subiri kwanza sijaja kuuza sura Natafuta Pesa nkitoka home ndo wanakula Kidogo naweka kwa kalekwa na Ndagula Mambulula hamuezi jua, Mtajua mkishaga kua Nimekulia mtaani na mtaa ndo wangu mama Ikanitunza fani na ndani rafiki wana Alinijua nani kabla ya huu mziki bhana Sa nasema nikisema Mnasema nasema sana CHORUS Usijifanye unanijua mtoto wa mtaa nimezaliwa kitaa (Ayayaya) Sijalewa na U-star I'm tryna push it harder nibaki at the Top (Ayayaya) Wapi wanangu wa kitaani (tumetulia tulia) Wapi wanangu vichaa (Ayayaya) Wapi wanangu wa kitaani (tumetulia tulia) Wapi wanangu vichaa (Ayayaya) VERSE 2 I'm going in sina gwanda pekupeku kwenye Vita Nayo bado kali ila naamini tu ntapita Chini miba juu moto mbele panatisha Na nyuma staki geuka maana nshapapita Binadamu bhana...Asalaleee Mshanihukumu sana, Nipumzisheni tu Nkalale Ndugu nao lawama Eeh..ni yale yale Wanaokupandisha jana watakushusha wale wale Nimekulia mtaani na mtaa ndo wangu mama Ikanitunza fani na ndani rafiki wana Alinijua nani kabla ya huu mziki bhana Sa nasema nikisema Mnasema nasema sana CHORUS Usijifanye unanijua mtoto wa mtaa nimezaliwa kitaa (Ayayaya) Sijalewa na U-star I'm tryana push harder nibaki at the Top (Ayayaya) Wapi wanangu wa kitaani (tumetulia tulia) Wapi wanangu vichaa (Ayayaya) Wapi wanangu wa kitaani (tumetulia tulia) Wapi wanangu vichaa (Ayayaya) BRIDGE Wanasema sieleweki na tena sisomeki Tayari nshawashika Pabaya Sina maisha ya kuact sifanyi deal fake Na bado kemikali ni fire Wanangu eeh..Machizi wa kariakoo ni wanangu eeh Manzese darajani wanagu eeh.. Bodaboda mission Town Nyie wanangu eeh..(Wanangu eeh) Kitu Pambe tumedamshi vibaya vibaya Ni full shangwe, wananita kemikali mbaya Eyo papa..we be killin dem Hatutaki kubatobato..SI HATUTAKI KUBATO BATO NA WATOTO!

chemicalmwanalubaoBongo flavourbongo flevakilimanjarozanzibardiamondplatnumzrayvannyharmonizeParanaweMwanzaWasafi FestivalMtoto wa mtaa