RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI MWINGINE MKUBWA SERIKALINI; WAMO WALIOTUMBULIWA , WENGINE WAMEHAMISHWA Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Zuhura Yunus Abdallah kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) ambapo kabla ya uteuzi Zuhura alikuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais IKULU Rais Samia pia amemuhamisha DC Fatma Almas Nyangasa kutoka Wilaya ya Kisarawe kwenda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kondoa huku akimteua Petro Magoti Itozya ( aliyekuwa Msaidizi wa Rais upande wa siasa) kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe

global tvwasafi mediaharmonizesimbayangagilly bonny tvRais samiaikuluwaziri mkuuTundu Lissuhalima mdeeester matikobulayaCHADEMACCMMboweKigogoJohn hechelemaCCmdiamondalikibajohn mnyikalema arushaDr. SLAAakina halimawabunge viti maalummillard ayozitto kabweTundu lissuDr Wilbrod SlaaBungeTulia acksonhabari digital