Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuaga mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuhitimisha Ziara yake ya Kitaifa hapa nchini leo tarehe 04 Juni, 2024 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.